Archive for January, 2009

Referee naye bwana

January 30, 2009
Referee naye eti kashikwa na msuli

Referee naye eti kashikwa na msuli

Advertisements

Mambo ya ‘ngurdoto’ bagamoyo

January 30, 2009
warembo wa ngurdoto

warembo wa ngurdoto

Mambo ya ‘Ngurdoto’ semina Bagamoyo

January 30, 2009
wadau muhimu wa ngurdoto

wadau muhimu wa ngurdoto

Katika ngurudoto iliyofanyika Bagamoyo ilikuwa ni wajibu kwa kila mdau wa Habarileo aguse maji ya uzima kutoka kisima cha ajabu kwenye magofu ya Kaole
Katika ngurudoto iliyofanyika Bagamoyo ilikuwa ni wajibu kwa kila mdau wa Habarileo aguse maji ya uzima kutoka kisima cha ajabu kwenye magofu ya Kaole
ni miaka 2 sasa tangu vijana hawa wa TSn wale maji ya uzima pale kisima cha Bagamoyo
ni miaka 2 sasa tangu vijana hawa wa TSn wale maji ya uzima pale kisima cha Bagamoyo wapi mzee wa Magharibi ya roho? wapi Marick El Shabaz

Usafiri mwingine jamani unatisha

January 21, 2009
Taxi ikisanya kuelekea kijijini ikitokea Mbalizi Mbeya Kina mama wakiwa juu

Taxi ikisanya kuelekea kijijini ikitokea Mbalizi Mbeya Kina mama wakiwa juu

Mambo ya ndizi Mbeya ndiyo yenyewe

January 21, 2009
Mbeya bwana ukiamka asubuhi washikaji unawakuta zamani washaamka na ndizi zishaiva. Biashara hiyo imeshamiri sana

Mbeya bwana ukiamka asubuhi washikaji unawakuta zamani washaamka na ndizi zishaiva. Biashara hiyo imeshamiri sana

Mshika bunduki mtaalaam wa computer

January 21, 2009
Mshika Bunduki Thiery Henry Mgwabati anapenda kucheza na computer ingawa hata hajafikisha miaka miwili.

Mshika Bunduki Thiery Henry Mgwabati anapenda kucheza na computer ingawa hata hajafikisha miaka miwili.

Mila za wasafwa wa mbeya hizo

January 18, 2009
Mama wa Jamaa Charles Wilson (chungulia Chini) akiwa na wanae ambao nao hawajanyoa nywele kwa mwaka mmoja na nusu kwa ajili ya kutekeleza mila ya Wasafwa wa Mbeya ya kukaa miaka miwili bila kunyoa nywele ukizaa mapacha.

Mila nyingine bwana!

January 18, 2009
Huwezi kuamini jamaa nilimkuta bush Mbeya Vijijini akiwa kasuka staili ya Kike nilipomuuliza kwanini kafanya hivyo alisema mila zao haziruhusu mtu kunyoa nywele kama amepata watoto mapacha.

Huwezi kuamini jamaa nilimkuta bush Mbeya Vijijini akiwa kasuka staili ya Kike nilipomuuliza kwanini kafanya hivyo alisema mila zao haziruhusu mtu kunyoa nywele kama amepata watoto mapacha. hapa alikuwa na mwaka mmoja na nusu bila kunyoa. watoto wake na mkewe pia hawaruhusiwi kunyoa.

January 18, 2009
Mbeya vijijini kijiji cha Idimi kijana alikutwa akijivinjari ndani ya jezi maarufu 11 bila wasiwasi.Huwezi kujua anaweza kuja kuwa Gunners wa badae

Mbeya vijijini kijiji cha Idimi kijana alikutwa akijivinjari ndani ya jezi maarufu 11 bila wasiwasi.Huwezi kujua anaweza kuja kuwa Gunners wa badae

Do you remember the Titans? Arsenal Gold

January 14, 2009
BIG up kwa washika bunduki hawa ambao sasa wanne kati yao hawapo Emirates lakini tunawakumbuka

BIG up kwa washika bunduki hawa ambao sasa wanne kati yao hawapo Emirates lakini tunawakumbuka