Unamkumbuka Dokiii!?

April 2, 2009
Unamkumbuka yule mwigizaji Dokii? hivi ndivyo alivyo siku hizi tofauti na huko nyuma!

Unamkumbuka yule mwigizaji Dokii? hivi ndivyo alivyo siku hizi tofauti na huko nyuma!

Advertisements

Single ya Chengeh yatoka redioni

April 2, 2009

Yo yo yo Chengeh hapa,nakuja kuwashikaaa!

Toka masaki mpaka O’bay,

Ni Chengeh ,speed 120 kwenye BAJAJ nshaaa!

Nipe Down nikupe Flow,Mi sio Bishoo naitwa Chengeh,

Polisi nawaona kama Kenge,

Natembea bila BIMA,Hakuna wa Kunizima,

Leseni Kitu gani,Napita tu Mtaani wa kunishika ni nani,

Anha..ni Chengeh, a.k.a Mzee wa vijicent..Bongo records baby!!

 

Metakelfin zapigwa marafuku Tanzania

March 31, 2009

MAMLAKA ya Chakula na Dawa(TFDA), imesitisha kwa muda uingizaji, usambazaji, uuzaji na matumizi ya dawa ya kutibu Malaria aina ya Metakelfin hapa nchini hadi hapo itakapotangaza tena. 

Uamuzi huo wa kuzuia dawa hiyo umekuja baada ya mamlaka hiyo kubaini kuwepo bachi ya dawa bandia, dawa zenye kiwango kidogo cha kiambata hai na kuwepo bachi mbalimbali za dawa hiyo ambazo hazijawahi kuidhinishwa na mamlaka hiyo kuingizwa nchini.

 

Akitangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari, Mkurugenzi Mkuu wa TFDA, Margareth Ndomondo-Sigonda alisema “ katika kipindi hiki wagonjwa na hasa walengwa wa dawa za SP ambao ni wajawazito wanashuriwa kutumia dawa za SP zenye viambata vya Sulpadoxine na Pyrimethamine kama inavyoelekezwa katika mwongozo wa kitaifa kuhusu uchunguzi na tiba ya malaria”.

 

Aliwataka wafanyabiashara wote wa dawa ya Metakelfin pamoja na vituo vya kutolea huduma za afya vya umma na binafsi warudishe dawa hiyo katika maduka waliyonunulia ili dawa zilizoingizwa kihalali zirudishwe kwa mwingizaji pekee wa dawa hiyo ambaye ni Laborex Tanzania Limited kwa uchunguzi zaidi pamoja na kuzibaribu pindi itakapothibitika kutokidhi viwango vya ubora na usalama.

 

Alisema walibaini kuwepo dawa hizo bandia baada ya kufanya ukaguzi wa ghalfa katika maduka 40 kwenye mikoa na idadi yake kwenye mabano ambayo ni Dar es Salaam(15), Kilimanjaro(3), Arusha(5), Mwanza(7) na Mbeya(10).

 

Ukaguzi huo ulitokana na raia mwema kutoka Kilimanjaro kuripoti kwenye mamlaka hiyo kuwa amenunua Metakelfin aliyokuwa akiitilia mashaka bachi namba  E 378A kutoka duka la dawa mjini Moshi linaloitwa Pharmacy Afrique na mamlaka hiyo ilipofuatilia ilikuta dawa hizo ni bandia.

 

Ubandia wa dawa hiyo umetokana na kutokuwa na viambata hai vya Pyrimethamine gramu 25 ambacho ni muhimu kukamilisha uwezo wa kuua vimelea vya malaria na uwezo wa kiambata cha Sulphamethopyrazine ni asilimia 0.4 wakati inatakiwa asilimia 90 hadi 110.

 

“Pia dawa iliyochukuliwa kutoka kwa muingizaji pekee bachi namba G894A ilikutwa na kiwango kidogo cha kiambata Sulphamethopyrazine ambayo ilikuwa ni asilimia 75.6”, alisema.

 

Tofauti ya dawa halisi na bandia kwamba rangi ya paketi ya ndani(blister) kwenye dawa halisi ni ya fedha iliyofifia wakati dawa bandia ina rangi ya fedha inayongara zaidi; maandishi ya maelezo ya matumizi katika dawa halisi ni ya kiingereza wakati kwa bandia ni kifaransa na kiingereza na uandishi wa namba ya bachi, tarehe ya kutengenezwa na kuisha muda wa matumizi katika dawa halisi yamepigwa chapa na bandia ni wa muhuri wa moto.

 

Alisema hadi sasa wafanyabiashara watano  wameshafunguliwa jalada polisi kwa kukutwa na dawa bandia za Malaria na watafikishwa mahakamani wakati wowote. Mikoa walipotoka wafanyabiashara hao na idadi yao kwenye mabano ni Dar es Salaam(2), Kilimanjaro(2) na Arusha mmoja.

End

Chenge from AG to Kinondoni Court!

March 31, 2009
Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, akiongozwa na Polisi wa Usalama Barabarani (kulia) na wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, kuingia mahakamani hapo jana kusomewa mashitaka yanayomkabili ya kusababisha ajali na vifo vya watu wawili hivi karibuni.

Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, akiongozwa na Polisi wa Usalama Barabarani (kulia) na wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, kuingia mahakamani hapo jana kusomewa mashitaka yanayomkabili ya kusababisha ajali na vifo vya watu wawili hivi karibuni.

Amsterdam Airport is a tricky spot

March 31, 2009
Schiphol Airport in Amsterdam is a must get lost venue for any new comer

Schiphol Airport in Amsterdam is a must get lost venue for any new comer

True love-Ombama with first Lady Michele
True love-Obama with first Lady Michele

Unguja na utamaduni wa kufanya mambo polepole

March 25, 2009

 

Na Faraja Mgwabati

 

MARA ya kwanza nilipofika visiwa vya Unguja na Pemba , mwaka jana, nilipata shida kidogo kuzoea namna ambavyo utamaduni wa wenyeji wa huku ulivyo.

 

Kila jambo linafanywa kwa polepole kama vile watu hawana haraka ya kufanya mambo mengine. Baada ya kukaa wiki mbili nilianza kuzoea namimi nikawa nafanya kama wao.

 

Tofauti na mara ya kwanza, safari hii nimeingia Unguja nikiwa mwenyeji na ninayejua mazingira ya visiwa hivi, kwa bahati mbaya wenzangu niliokwendanao inaonekana hawajauzoea utamaduni huo.

 

Jumapili iliyopita tulikuwa katika safari ya kwenda Unguja kuhudhuria mkutano wa Uwekezaji ambao ulifanyika kwenye moja ya fukwe maarufu za mji huo.

 

Tulipokaribia kufika, tulikubaliana kuwa kitu cha kwanza baada ya kufika itakuwa ni kutafuta hoteli halafu chakula, kwani tulikuwa na njaa mida hiyo, ingawa ulikuwa ni mwendo wa masaa mawili tu kutoka Dar es Salaam .

 

Baada ya kushuka tulichukua teksi hadi hotelini na tukataka kumlipa dereva wa teksi aondoke kwa kuwa tulikuwa tumeshapata vyumba. Lakini chakushangaza dereva alisema, ‘nendeni tu lipieni vyumba, wekeni vitu vyenu mimi mtanikuta nawasubiri,”

 

Tukaingia mapokezi hotelini hapo na kulipia. Mimi nikamwambia mhudumu naomba risiti ya malipo, akasema nitakuandikia tu usijali we endelea utaikuta. Sikushangaa sana kwani niliwahi kukaa hapo mwaka jana.

 

Hatimaye tukatoka nje tukaonana na dereva wetu, tuka mwuliza sehemu gani tunaweza kupata chakula kizuri? Akasema twendeni, akatupeleka sehemu inaitwa CCM ambako mgahawa mpya umefunguliwa. Wenzangu wakamwuliza tukulipe kiasi gani? Akajibu, “Nyie kuleni tu mie nawangoja hapa nje, mie na nyie hatuzuriani ati, hatuwezi gombana tutakubaliana tu!”

 

Tukaingia ndani bwana, tukakuta kaunta watu wengi wanaagiza na kuchukua chakula huku wengi wao wakichukua kwa ajili ya kwenda kula nyumbani, hali ambayo ilinifanya nimuulize mwenyeji wa huko baadaye kulikoni watu wanabeba ‘takeaway’ nne hadi tano.

 

Akaniambia kuwa wenyeji wa mji huo hawapendi mambo ya kupika hasa mchana wengi wanakula hotelini na wengine ndo kama vile wanabeba kulingana na familia walizonazo nyumbani kwao.

 

Wakati tukisubiri kupata huduma, mmoja wa jamaa zangu niliokuwa nao inawezekana alikuwa na njaa sana au alikuwa amezoea staili ya bara ya kuagiza vitu dukani au hotelini kwani alitaja chakula anachotaka, pilau, zaidi ya mara 15 mhudumu alikuwa anaongea tu na wateja wengine.

 

Siyo kwamba alikuwa hamsikii, la hasha, ni wazi kwamba alikuwa akimsikia kwani alikuwa karibu yake kabisa lakini akawa anahudumia wanaochukua takeaway kwanza na pengine wale anaowajua.

 

Jamaa yangu alikuwa anaendelea kusisitiza nipe pilau huku akimwonysha noti ya 10,000, lakini yule mhudumu alikuwa anaendelea kupiga stori na wengine, ikabidi mimi nimbonyeze rafiki yangu na kumwambia tulia kwanza.

 

Baada ya muda kidogo akachukua fedha yake na akatuhudumia. Pilau lilikuwa tamu sana , au inawezekana tuliliona tamu kwasababu ya njaa zetu.

 

Tukatoka nje na kumkuta dereva wetu akiwa amejipumzisha kwenye gari akiwa hana hofu yoyote kama ilivyo kwa madereva wa teksi wa Dar es Salaam ambao akikusubiri kidogo anakutoza gharama ya kusubiri, au ukimwambia akusubiri anaona anachelewa wateja wengine.

 

Akaturudisha mpaka hotelini na akatuuliza hamwendi kwingine tena? Tukamwambia hapana twapumzika tukikuhitaji tutakupigia simu. Kazi iliyobaki ilikuwa ni kupatana bei sasa, tulikuwa tukihofu kwamba atatutajia bei kubwa lakini haikuwa hivyo pamoja na kutusubiri kote.

 

Sitasema alitutoza kiasi gani lakini tukamwomba atupunguzie 1000 akakubali. Tulipoingia hotelini nilimkuta mhudumu mwingine ambaye nilimweleza kuwa nilishalipia chumba nahitaji risiti. Naye alinijibi kama yule wa mwanzo, ‘usiwe na wasiwasi nitakuandikia,’ alisema hivyo wakati hakuwa na kazi yoyote pale kaunta.

 

Katika tukio jingine mwandishi mwenzangu alikutana na kituko kingine wakati akitoka katika eneo la Kwamchina akielekea Darajana, ambapo alipatwa na butwa pale alipoona dereva wa daladala walilokuwa wamepanda akisimama ghafla na kuanza kupiga soga na mtembea kwa miguu bila wasiwasi.

 

Mwenda kwa miguu huyo ambaye inaelekea alikuwa ni ndugu wa dereva, alisimamisha gari na wakaanza kuzungumza mambo yao ya kifamilia takribani dakika tano huku abiria wakiwa kimya wala hawana wasiwasi.

 

“Baada ya kuona muda unazidi kwenda nikawageukia abiria wenzangu labda tujaribu kumkemea dereva, lakini nikaona wote wametuliatu na hakuna anayelalamika, nilishangaa sana ,” anasema mwandishi huyo wa gazeti moja la Dar es Salaam .

 

Tukio jingine ni pale alipokwenda dukani kununua betri dukani, akamwuliza muuzaji una Duracell? Muuzaji akajibu sina, Mwandishi akamwuliza una betri aina nyingine yenye nguvu kama Duracell? Muuzaji akasema sina. Lakini katika kupitisha macho mwandishi akaona betri aina ya Energizer akamwambia muuzaji mbona Energizer naziona? Yule mwuuzaji akashituka kwa kusema, “Alah kumbe na hizo watumia?”

 

Hayo ndiyo mambo ya Unguja lakini kwa ujumla watu wa visiwa hivyo ni wakarimu na wanaopenda wageni, ingawa wapo wanaosema ukarimu wao upo kwenye mambo yote lakini siyo kwenye chakula.

 

“Hawa jamaa (wazanzibari) wanaweza kukupa hata gari lao ukatumia muda wote ukiwa Unguja lakini hata siku moja hawawezi kukukaribisha chakula kwao,” alisema kijana mmoja wa bara lakini amekaa muda mrefu Unguja.

 

Taarifa ningine zinasema watu wa visiwa hivi hawapendi kupika majumbani mwao ndiyo maana ikifika wakati wa chakula cha mchana utakuta msururu mirefu kwenye migahawa na hoteli wakinunua vyakula kwa ajili ya kula nyumbani.

 

Mpaka naondoka Unguja yule ndugu yangu wa mapokezi hotelini alikuwa hajaniandikia risiti yangu, na mimi nikasahau hivyo nikaondoka bila risiti, hiyo yote ni kwasababu ya ‘Mambo polepole’.

 

End

 

 

Mama Migiro alipokuwa dar hivi karibuni

March 21, 2009

migiromigiro2henryhenry2wife2

Mama Thirery Henry

IMF boss in Dar es Salaam streets

March 9, 2009
dominique-khan-4

IMF boss at Manzese, Dar es Salaam looking on secondhand cloth he later went on to buy a mosquito net. Mr Strauss-Khan managed to bargan price from Tsh 5500 to 5000. He also deciede to buy the cheapest net as there were other which were sold at 10,000. can u imagine!
IMF boss at Manzese, Dar es Salaam looking on secondhand cloth he later went on to buy a mosquito net. Mr Strauss-Khan managed to bargan price from Tsh 5500 to 5000. He also deciede to buy the cheapest net as there were other which were sold at 10,000. can u imagine!

dominique-khan3dominique-khan2

Wema sepetu hakamatiki

March 6, 2009
Wema akikamatwa na mama yake baada ya kutoka kwa dhamana na mama yake.baada ya kutoka tu alimbusu buzi lake, mama yake alinuna akamkwapua harakaharaka.

Wema akikamatwa na mama yake baada ya kutoka kwa dhamana na mama yake.baada ya kutoka tu alimbusu buzi lake, mama yake alinuna akamkwapua harakaharaka.

wema-page32-insert

PHD feki za mawaziri wenu

March 5, 2009


Degree feki za mawaziri


 Naomba msome degree za viongozi wenu hapo chini:
 Kali ni chuo alichosoma Mkullo kwani nasikia kinatoa degree
 kwa mbwa!!
  Naomba ieleweke kuwa kuna makundi mawili hapa
 tunayoyaongelea: La kwanza
  ni kundi la akina Mzindakaya, JK , Karume, Rwakatare
 n.k. Hawa wana
  shahada za heshima tu (honoris causa) siyo za kusomea!
 Chuo chochote
  kinaweza mtunukia mtu shahada hiyo ya heshima kwa
 kutambua mchango wake
  katika jambo fulani. Siku za nyuma hata baba wa Taifa
 Mwalimu Nyerere,
  Spika Adam Sapi, Salim Ahmed Salim, Kaunda na Obote
 walipewa heshima
  hiyo na vyuo mbalimbali duniani. 
 
  Kundi lenye matatizo ni lile lenye shahada feki na
 linadai kuzisomea
  shahada hizo! Kundi hili ni hatari sana maana
 linaharibu kabisa heshima,
  sifa na viwango vya elimu nchini. Wafuatao wana vyeti
 feki vinavyoitia
  aibu Serikali na nchi kwa ujumla:
 
  (1) Salmin Amour – Ph.D yake ni feki, ya kisiasa.
 Aliipata Ujerumani
  Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na
 cheti cha form four
  tu!
  (2) Pius Ng’wandu – Ph.D yake ni feki. Chuo
 anachodai kusoma cha Stanford,
  Marekani  hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko
 Marekani, akina Prof.
  Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu! 
  (3) Mary Nagu – Ph.D yaje ni ya kununua kwenye
 mtandao. 
  (4) Emmanuel Nchimbi – Ph.D yake ya uchumi ni ya
 kununua. Hana uelewa
  wowote wa economics kichwani mwake. 
  (5) Makongoro Mahanga – Ph..D yake ya ugavi ni ya
 kununua kama Nchimbi. 
  (6) Didas Masaburi – Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na
 ya kaka yake
  Makongoro. 
  (7) Norman Sigallah – Ph.D yake ni ya kununua kwenye
 mtandao. 
  (8) Mafwenga – Ph.D yake sawa na ya Sigallah 
  (9) Nangale – Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha
 chini ya viwango,
  London. 
  (10) Mathayo David – Ph.D ya kujipachika. 
  (11) Mutamwega – Ph.D yake ni feki, ya kununua.
 Mhusika hawezi kuandika
  hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza. 
  (12) Lukuvi – Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na
 sifa za elimu ya
  darasa la saba na cheti cha ualimu, class C.. 
  (13) Samuel Chitalilo – Vyeti vyake vya elimu ya juu
 toka  Uganda vyote ni
  feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!  Nimepata
 taarifa mbalimbali kuhusu  vyeti vya  Wabunge wafuatao:

Sigonda, Capt.Komba, Omari Mzeru na
 Savelina Mwijage.
  Nazifanyia kazi. Nitazianika hapa muda muafaka! 
   
  Ijabu  Ijabu kanipa hamasa sana juu ya suala hili.
 Wote aliowaeleza kweli
  wana vyeti feki na hata ukiongea nao, ni vihiyo vihiyo
 wa kutupwa! Naomba
  niongeze majina mengine kwenye listi la Mhe. Diodorus
 Buberwa Kamala,
  Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki. Huyu bwana
 kasoma Mzumbe kama
  Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu
 wa Chuo hicho Bw.
  Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za
 wenzake aliowataja
  Ijabu. Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa
 anapwaya ile mbaya.
  Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni
 form four failure na CV
  yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote
 ni Ze Komedi mbele
  ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi! 
 
  Yupo huyu mama wa Kibaha,  Zaibab Gama. Anajiita Dk.
 wakati ana diploma ya
  radiology tu!
   
   Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum,
 Kagera), huyu ana matatizo
  makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote
 zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake,
 lakini ni Mbunge.
  Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu
 miaka mingi akiwa
  mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba. 
   
  Namfahamu sana Mbunge Sigonda. Ni mtu wa usalama wa
 Taifa aliyeishia
  darasa la nane. Leo naambiwa ni Dk.! Hebu tupe dataz
 Ijabu na wana JF
  wengine.
   
  Capt. Komba yeye ni msanii na mwizi asiyestahili
 kujadiliwa hapa maana
  anawaibia hata wasanii wenzake dani ya TOT.
   
   Mzeru wa Morogoro yeye ni mafix moja kwa moja. Hana
 udaktari wowote!
  Alijipachika udaktari kuombea ubunge na unaibu waziri
 kwa JK ! 
 
  Agustino Lyatonga Mrema – Pacific Western University,
 a diploma mill. Yeye  alipoenda kuchukua hiyo “degree” alikwenda
 na matarumbeta kibao, vifijo na
  nderemo. 
 
  Mustafa  Mkullo – Almeda University, a diploma mill.
 Kule youngafrican.com
  nakumbuka ilisema eti chuo chake kiliwahi kutoa
 associate degree kwa mbwa
  anayeitwa “Wally” mali ya mwandishi mmoja wa
 habari huko Marekani (In 2004
  the CBS affiliate in Albany, New York, ran a report on
 Almeda that  featured Peter Brancato, who had filled out an
 application for an  associate degree on behalf of his dog, Wally. Part of
 the “life  experience” listed on the application was
 “Plays with the kids every day
  … teaches them to interact better with each other
 … Teaches them
  responsibilities like feeding the dog.” Almeda
 granted Wally an
  associate’s degree in childhood development with a
 course list including
  European culture, college algebra, American history,
 and public
  speaking.[13] In reply, Almeda claims Brancato
 perjured himself by
  creating a false identity using a fabricated name and
 date of birth. They 
  write, “He completed an application that included
 a
   background of the following: Eight-years tutoring
 pre-K children,
  curriculum design and development, teaching coping
 skills, and volunteer
  coaching.”” Almeda University – Wikipedia,
 the free encyclopedia 
   
  Kama sijakosea waheshimiwa wengi sana wana degrees
 kutoka chuo cha
  Washington International –
   
  I think even Sofia Simba anayo ya huko  
  Yona Fares Maro  Master of Science in Computer
 Science and Information
  Systems (MS)  University of Michigan-Flint
 
  Upo?